Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

 ,Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe Sebastian M. Walyuba(pichani) akiwa ameshikilia cheti maalum cha pongezi walichopewa Shule ya Sekondari Tandahimba kwa kushika nafasi ya 10 kitaifa na nafasi ya kwanza kimkoa kwenye mtihani wa kidato cha sita 2016 Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe Emmanuel Ulahula akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Halima Dendegu akipokea madawati 50 yaliyotolewa na Banki ya NMB-Tandahimba Chumba cha kisasa cha upasuaji katika kituo cha Afya Namikupa-Tandahimba Ukumbi mpya wa kisasa wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

Karibu sana katika tovuti rasmi ya Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba ili kujua mambo mbalimbali yanayotekelezwa ndani ya halmashauri hii ikiwa ni taarifa pia pamoja na shughul muhimu za halmashauri zinazofanyika kupitia Idara zake na vitengo.Tunakukaribisha sana ili kuijua halmashauri yetu vizuri. Ili kupata maelezo zaidi somoa hapa chini UTANGULIZI. Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ni moja kati ya Halmashauri tisa za Mkoa wa Mtw...

Takwimu

 • Hospitali = 01
 • Vituo vya Afya = 03
 • Shule za Sekondari = 28
 • Zahanati = 31
 • Shule za Msingi = 125
 • Idadi ya Wanafunzi S/Sekondari = 8823
 • Idadi ya Wanafunzi S/Msingi = 48651

Habari & Matukio

15 Aug 2016

Pata kuijua Halmashauri ya Wilaya Tandahimba

09 Aug 2016

Mkulima akitoa maelezo ya jinsi ya kulima nakuandaa aina mbalimbali za vyakula vya asili wakati wa maonesho ya nanenane katika banda la halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba